Papa Innocent V

From Wikipedia, the free encyclopedia

Papa Innocent V

Papa Innocent V, O.P. (takriban 122522 Juni 1276) alikuwa Papa kuanzia tarehe 21 Januari/22 Februari 1276 hadi kifo chake[1]. Alitokea Savoie, leo nchini Ufaransa[2].

Thumb
Mwenye heri Papa Inosenti V.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pierre de Tarentaise. Alikuwa mtawa wa shirika la Wahubiri.

Alimfuata Papa Gregori X akafuatwa na Papa Adrian V.

Tarehe 9 Machi 1898 Papa Leo XIII alimtangaza mwenye heri.

Sikukuu yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.