Papa Gregori IX
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Gregori IX (takriban 1143 – 22 Agosti 1241) alikuwa Papa kuanzia tarehe 19/21 Machi 1227 hadi kifo chake[1]. Alitokea Anagni, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ugolino wa Segni.
Alimfuata Papa Honori III akafuatwa na Papa Selestini IV.
Rafiki wa Fransisko wa Asizi, alifanywa kardinali mlinzi wa shirika la Ndugu Wadogo akatabiriwa naye Upapa.
Baada ya utabiri kutimia, ndiye aliyemtangaza mtakatifu huko Assisi mwaka 1228.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.