Papa Boniface VIII (takriban 123511 Oktoba 1303) alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Desemba 1294/23 Januari 1295 hadi kifo chake[1]. Alitokea Anagni, Italia[2].

Thumb
Papa Bonifasi VIII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Benedetto Caetani.

Alimfuata Papa Selestini V akafuatwa na Papa Benedikto XI.

Ndiye aliyeanzisha jubilei katika Kanisa Katoliki (1300).

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.