From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Boniface VIII (takriban 1235 – 11 Oktoba 1303) alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Desemba 1294/23 Januari 1295 hadi kifo chake[1]. Alitokea Anagni, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Benedetto Caetani.
Alimfuata Papa Selestini V akafuatwa na Papa Benedikto XI.
Ndiye aliyeanzisha jubilei katika Kanisa Katoliki (1300).
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.