Paolucho Trinci
From Wikipedia, the free encyclopedia
Paolucho Trinci (Foligno, 1309 - Foligno, 17 Septemba 1391) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo katika Kanisa Katoliki.
Alianzisha urekebisho wa Waoservanti wa shirika hilo [1].
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.