Padova
From Wikipedia, the free encyclopedia
Padova ni mji wa Italia katika mkoa la Veneto. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 210,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 12 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Padova | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Veneto |
Wilaya | Padova |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 212,858 |
Tovuti: www.padovanet.it/ |
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.