Thumni (kwa Kilatini na Kiingereza Octans) ni jina la kundinyota dogo kwenye nusutufe ya kusini ya Dunia yetu iliyopo kwenye ncha ya anga ya kusini. Ilhali
(Horologium), Nyavu (Reticulum), Zoraki (Phoenix), Tukani (Tucana), Thumni (Octans). Nyoka Maji ni kati ya makundinyota yaliyobuniwa tangu mabaharia Wazungu
Maji (Hydrus), Zoraki (Phoenix), Kuruki (Grus), Mhindi (Indus) na Thumni (Octans). Tukani inapatikana kati ya makundinyota yaliyobuniwa tangu mabaharia Wazungu
(en:Volans) upande wa kaskazini, Meza (en:Mensa) upande wa mashariki, Thumni (Octans) upande wa kusini na Ndege wa Peponi (Apus) upande wa magharibi. Kinyonga
wa Peponi (Apus) na Madhabahu (en:Ara) upande wa magharibi, Thumni (en:Octans) upande wa kusini na Mhindi (en:Indus) upande wa mashariki. Tausi ni kati