Nikola II wa Urusi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Nikola wa II wa Urusi (kwa Kirusi: Николай II Алекса́ндрович, Nikolai II Aleksandrovich; St. Petersburg, Urusi, 18 Mei 1868 – Yekaterinburg, Urusi, 17 Julai 1918) alikuwa tsar (mtawala wa kifalme au kaisari) wa mwisho wa Urusi (kuanzia tarehe 1 Novemba 1894 hadi alipozalimishwa kujiuzulu tarehe 15 Machi 1917).

Familia yake nzima iliuawa na Wakomunisti. Kwa sababu hiyo wote wanaheshimiwa na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini[1].
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.