Nayarit
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Nayarit Ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexico upande wa kati-magharibi ya nchi. Ina pwani na Pasifiki. Mji mkuu na mji mkubwa ni Tepic.
Jimbo lina wakazi wapatao 949,684 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 26,979.
Imepakana na Sinaloa, Durango, Zacatecas na Jalisco.
Gavana wa jimbo ni Ney González Sánchez.
Lugha rasmi ni Kihispania.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nayarit kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.