From Wikipedia, the free encyclopedia
Jalisco (kwa Kinahuatl: tambarare ya mchanga) ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexico ya kati-magharibi ya nchi. Ina pwani na Pasifiki. Mji mkuu na mji mkubwa ni Guadalajara.
Imepakana na Nayarit, Zacatecas, Aguascalientes, San Luis Potosí, Guanajuato, Colima na Michoacán.
Jimbo lina wakazi wapatao 7,000,000 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 79,085.
Gavana wa jimbo ni Emilio González Márquez.
Lugha rasmi ni Kihispania.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jalisco kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.