From Wikipedia, the free encyclopedia
Mwamba wa mgando (kwa Kiingereza: igneous rock) ni moja ya aina tatu kuu za miamba, pamoja na mwamba mashapo na mwamba metamofia.
Miamba ya mgando huundwa kutokana kwa kupoa kwa magma au lava, yaani mwamba moto katika hali ya kiowevu jinsi inavyopatikana katika koti la Dunia.
Miamba hii hutokea kwa namna mbili tofauti zinazosababisha pia tabia tofauti ya miamba yenyewe:
The Wikibook Historical Geology has a page on the topic of |
The Wikibook Historical Geology has a page on the topic of |
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mwamba wa mgando kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.