Mwigizaji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mwigizaji ni mtu anayeigiza, au anapewa kijisehemu cha kuigiza katika filamu, tamthiliya, vipindi vya televisheni, mchezo, au mchezo wa redio.


Muigizaji ni mtu anayeonyesha tabia fulani katika utendaji. Kuna kipindi waigizaji huimba na kucheza. Muigizaji hufanya maigizo katika ukumbi wa michezo, au katika kumbi ya kisasa kama filamu, redio na televisheni.[1][2]
Mwigizaji jukumu lake ni kuelimisha jamii na kuburudisha, iwe kwa misingi ya mtu halisi au tabia ya uongo. Ufafanuzi hutokea hata wakati muigizaji "anacheza mwenyewe", kama katika aina fulani za sanaa ya utendaji wa majaribio, au kwa kawaida. Kutenda, ni kujenga, tabia katika utendaji.
Historia
Katika jamii nyingine, wanaume pekee ndio waigizaji, na majukumu ya wanawake kwa kawaida yalikuwa kucheza na wanaume au wavulana.
Marejeo
Soma zaidi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.