From Wikipedia, the free encyclopedia
Trabzon ni jina la mkoa uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Upo kwenye kanda muhimu kabisa, Trabzon ni moja kati ya bandari ya kibiashara ya zamani zamani sana katika miji ya Anatolia. Idadi ya wakazi wa hapa ni 1,061,055 (makadirio ya 2006). Mikoa ya jirani pamoja na Giresun kwa upande wa magharibi, Gümüşhane kwa upande kusini-magharibi, Bayburt kwa upande wa kusini-mashariki na Rize kwa upande mashariki mwa nchi. Mji mkuu wake ni Trabzon. Mkoa huu ndiyo nyumbani kwa jumuiya ndogo ya Wagiriki Wakiislamu wanaongea lugha ya Kipontiki [1].
Mkoa wa Trabzon | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Trabzon nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 6,685 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 1,061,055 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 61 |
Kodi ya eneo: | 0462 |
Tovuti ya Gavana | http://www.trabzon.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/trabzon |
Trabzon province is divided into 18 districts (capital district in bold):
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.