Mkoa wa Sivas
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Sivas ni jina la mkoa uliopo mjini mashariki mwa sehemu ya kanda ya Anatolia ya Kati huko nchini Uturuki. Huu ni mji wa pili kwa ukubwa katika orodha ya miji ya Uturuki. Mikoa inayopakana karibu na mkoa huu ni pamoja na Yozgat kwa upande wa magharibi, Kayseri kwa upande wa kusini-magharibi, Kahramanmaraş kwa upande wa kusini, Malatya kwa upande wa kusini-mashariki, Erzincan kwa upande wa mashariki, Giresun kwa upande wa kaskazini-mashariki, na Ordu kwa upande wa kaskazini. Mji mkuu wake ni Sivas.
Mkoa wa Sivas | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Sivas nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 28,488 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 810,989 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 58 |
Kodi ya eneo: | 0368 |
Tovuti ya Gavana | http://www.sivas.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/sivas |
Mkoa wa Sivas umegawanyika katika wilaya 17 (mji mkuu umekoozeshwa):
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sivas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.