From Wikipedia, the free encyclopedia
Ordu ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki. Upo kwenye pwani ya Bahari Nyeusi. Mkoa unaopakana karibu na hapa ni pamoja na Samsun upande wa kaskazini-maghribi, Tokat upande wa kusini-magharibi, Sivas upande wa kusini, na Giresun upande wa mashariki. Mji mkuu wake ni Ordu.
Mkoa wa Ordu | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Ordu nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 6,001 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 890,869 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 52 |
Kodi ya eneo: | 0452 |
Tovuti ya Gavana | http://www.ordu.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/ordu |
Mkoa wa Ordu umegawanyika katika wilaya 19 (mji mkuu umekoozeshwa):
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ordu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.