From Wikipedia, the free encyclopedia
Mersin ni jina la mkoa uliopo mjini kusini mwa nchi ya Uturuki. Mkoa upo kwenye pwani ya Bahari ya Mediteranea kati ya Antalya na Adana. Mji mkuu wake ni Mersin.
Mkoa wa Mersin | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Mersin nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Mediterranean |
Eneo: | 15,853 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 2.275.216 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 33 |
Kodi ya eneo: | 0324 |
Tovuti ya Gavana | http://www.mersin.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/mersin |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mersin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.