From Wikipedia, the free encyclopedia
Mersin ni jiji na bandari yenye kazi nyingi ya nchini Uturuki. Jiji lipo katika pwani ya mjini kusini mwa Mediteranea. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Mersin. Takriban watu 2,275,216 wanaishi mjini hapa. Mji upo m 100 juu ya usawa wa bahari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mersin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.