From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Masharikii (Eastern Province) ni moja ya mikoa 10 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 1,306,173 kwenye eneo la 69,106 km². Mji mkuu ni Chipata.
Miji mikubwa ni pamoja na Chipata, Petauke na Lundazi.
Lunsemfwa na Luangwa ni mito muhimu zaidi.
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mashariki (Zambia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.