Mkoa wa Mashariki, Ghana
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Mashariki, Ghana ni mmojawapo kati ya mikoa 16 ya Jamhuri ya Ghana.
Eneo lake ni la kilomita ya mraba 19,323.
Makao makuu ni Koforidua.
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mashariki, Ghana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.