Mita ya ujazo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mita ya ujazo

Mita ya ujazo (kifupi ) ni kipimo cha mjao chenye urefu, upana na kimo cha mita moja. Ni kiwango katika vipimo vya SI. Jina lingine ni "kilolita".

Mita moja ya ujazo ya saruji.

Mita moja ya ujazo inalingana na lita 1,000 au sentimita za ujazo 1,000,000.

1 m³ ya maji safi katika hali sanifu (halijoto ya 3.98°C) na shindikizo sanifu ya hewaanga) huwa na masi ya kilogramu 1,000.

Kifupi kingine ni CBM (kwa Kiingereza "cubic meter") hasa katika hati za biashara na usafirishaji.

Bilioni moja za mita za ujazo zinafanya kilomita ya ujazo ambayo ni kipimo kinachotumiwa kukadiria mjao wa bahari.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mita ya ujazo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.