Melody Maker (lilikuwa likichapwa nchini Uingereza hadi mwaka 2000) lilikuwa jarida lililokuwa likitoa habari za muziki dunia kila wiki.[1]

Faili:Melody-Maker-7-September-1968.jpg
Gazeti la Melody Maker

Jarida liilianzishwa mnamo 1926 likiwa limejibobesha zaidi katika kuelezea taarifa za wanamuziki tu.

Marejeo

Viungo vya Nje

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.