From Wikipedia, the free encyclopedia
Maghrib (المغرب العربي al-maġrib al-ʿarabī; pia: Maghreb) ni sehemu ya kaskazini-magharibi ya Afrika.
Siku hizi jina linataja nchi za Moroko, Algeria na Tunisia, wakati mwingine pia Mauretania na Sahara Magharibi.
Zamani lilimaanisha tu maeneo kati ya pwani ya Bahari Mediteranea na vilele vya Milima ya Atlas pamoja na sehemu za Rasi ya Iberia (Hispania kusini na Ureno), Malta na Sisilia zilizotawaliwa na Waislamu.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Maghrib kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.