From Wikipedia, the free encyclopedia
Rasi ya Iberia ni kati ya rasi kubwa za Ulaya ikiwa na eneo la km² 582,860. Iko kusini magharibi mwa Ulaya ikipakana na Bahari Atlantiki upande wa kaskazini na magharibi, halafu Bahari Mediteranea upande wa kusini na mashariki.
Milima ya Pirenei ni mpaka kati ya rasi na Ufaransa (Ulaya ya magharibi).
Iberia ni jina la kale tangu zamani za Waroma wa Kale.
Kwenye rasi kuna nchi zifuatazo:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rasi ya Iberia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.