Madeleine Stowe

From Wikipedia, the free encyclopedia

Madeleine Stowe
Remove ads

Madeleine Stowe (amezaliwa tar. 18 Agosti 1958) ni muigizaji wa filamu anayejulikana kwenye filamu kama Revenge, Stakeout na Unlawful Entry. Hivi sasa, anaigiza kama Victoria Grayson kwenye filamu ya Revenge ambapo aliteuliwa kwenye tuzo ya 2011 Best Actress - Golden Globe Awards.

Ukweli wa haraka Madeleine Stowe ...
Remove ads

Filamu

Maelezo zaidi Mwaka, Filamu ...
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads