Lourdes
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lourdes (matamshi: [luʀd]) ni mji mdogo (wakazi 15,000) chini ya milima ya Pirenei nchini Ufaransa.

Inatembelewa na watu zaidi ya milioni 5 kwa mwaka kutoka na njozi za mwaka 1858, ambazo Kanisa Katoliki limethibitisha kwamba kweli Bikira Maria alimtokea msichana Bernadeta Soubirous.
Kanisa hilo limethibitisha pia miujiza 70 iliyotokana na maombezi ya Bikira Maria kuwa haielezeki kisayansi.
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.