From Wikipedia, the free encyclopedia
Lupisino wa Condat (alifariki 486 hivi) alikuwa Mkristo ambaye, baada ya kufiwa mke wake, alikwenda kuishi na kaka yake mkaapweke Romano wa Condat[1].
Pamoja naye alianzisha monasteri mbili huko Condat na Lauconne katika eneo la milima ya Jura, leo nchini Ufaransa, akawa abati wake[2][3].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.