From Wikipedia, the free encyclopedia
Linus Pauling (28 Februari 1901 – 19 Agosti 1994) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mfumo wa molekuli kubwa, kwa mfano protini. Mwaka wa 1954 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Tena, mwaka wa 1962 alipokea Tuzo ya Nobel ya Amani.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Linus Pauling kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.