From Wikipedia, the free encyclopedia
Liberali wa Roma (alifariki Roma, Italia, 269 hivi) alikuwa konsuli wa Dola la Roma ambaye aliongokea Ukristo na kuacha siasa na anasa.
Hatimaye aliuawa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Klaudio Mgoti[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 20 Desemba[2].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.