From Wikipedia, the free encyclopedia
Mlango wa Korea ni mlango wa bahari baina ya Korea Kusini na nchi ya Japani. Mlango huu unaunganisha Bahari ya Uchina ya Mashariki na Bahari ya Japani kwa upande wa kaskazini-magharibi mwa Bahari ya Pasifiki. Mlango umegawanyika na Kisiwa cha Tsushima kwa upande wa magharibi mwa kanda ya Mlango wa Tsushima (kanda ya mashariki).
Kwa upande wa kaskazini imepakana na pwani ya kusini mwa Peninsula ya Korea, na kwa upande wa kusini ipo kusini-magharibi mwa Visiwa vya Japani vya Kyūshū na Honshū. Ipo takriban 200 km (maili 120) upana na wastani ina kina cha mita 90 hadi 100 (300 ft).
Kisiwa cha Tsushima inawagawanya Mlango wa Korea katika kanda ya magharibi na Mlango wa Tsushima. Kanda ya magharibi ina kina kirefu cha (mita 227) na mwembamba sana kuliko Mlango wa Tsushima.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlango wa Korea kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.