From Wikipedia, the free encyclopedia
Kivunjo ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wachagga, yaani ni lugha moja katika mnyororo wa lugha za Kichagga. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kivunjo imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kivunjo iko katika kundi la E60.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kivunjo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.