From Wikipedia, the free encyclopedia
Kitongwe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Watongwe. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitongwe imehesabiwa kuwa watu 31,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitongwe iko katika kundi la F10.
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitongwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.