Kisiwa cha Rusinga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kisiwa cha Rusinga ni kati ya visiwa vya kaunti ya Homa Bay, magharibi mwa Kenya.
Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.
Ni kata ya Eneo bunge la Mbita[1].
Jamii ya Waluo ndio imejaa, wavuvi na wakulima wamo, kwani biashara hufanywa hapa, ina kilomita 16 sawa na maili 10. Wasuba ndio walikuwa wanaishi kitambo, takribani mwaka 1954, ambapo walikuja kama wakimbizi kutoka Uganda.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.