From Wikipedia, the free encyclopedia
Kishubi (au Kisubi) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Washubi. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kishubi imehesabiwa kuwa watu 153,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kishubi iko katika kundi la D60.
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kishubi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.