Njiwa ni ndege wakubwa kiasi wa jenasi Columba na Patagioenas katika familia Columbidae. Spishi nyingine huitwa kunda pia.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Njiwa |
Kunda madoa |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Nusufaila: |
Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
|
Ngeli: |
Aves (Ndege)
|
Oda: |
Columbiformes (Ndege kama njiwa)
|
Familia: |
Columbidae (Ndege walio na mnasaba na njiwa) Leach, 1820 |
Nusufamilia: |
Columbinae (Ndege walio mnasaba na njiwa) Leach, 1820 |
|
Ngazi za chini |
Jenasi 2; spishi 53, 20 katika Afrika:
- Columba Linnaeus, 1758
- C. albinucha Sassi, 1911
- C. albitorques Rüppell, 1837
- C. arquatrix Temminck, 1808
- C. bollii Godman, 1872
- C. delegorguei Delegorgue, 1847
- C. guinea Linnaeus, 1758
- C. iriditorques Cassin, 1856
- C. junoniae Hartert, 1916
- C. larvata Temminck, 1809
- C. livia Gmelin, 1789
- C. malherbii J.Verreaux & E.Verreaux, 1851
- C. oenas Linnaeus, 1758
- C. oliviae Clarke, 1918
- C. palumbus Linnaeus, 1758
- C. pollenii Schlegel, 1865
- C. simplex (Hartlaub, 1849)
- C. sjostedti Reichenow, 1901
- C. thomensis Bocage, 1888
- C. trocaz Heineken, 1829
- C. unicincta Cassin, 1859
- Patagioenas Reichenbach, 1852
|
Funga
Wana rangi ya kijivu na nyeupe na pengine kuna rangi ing'aayo ya buluu au zambarau.
Wanatokea mazingira yote yenye miti. Njiwa hula mbegu, matunda na mimea. Hujenga tago lao la vijiti kwa miti au miwamba. Jike hutaga mayai mawili kwa kawaida na makinda wapewa dutu inayofanana na maziwa. Dutu hii inatungwa katika gole la ndege.
- Columba albinucha, Njiwa Kisogo-cheupe (White-naped Pigeon)
- Columba albitorques, Njiwa Ukosi-mweupe (White-collared Pigeon)
- Columba arquatrix, Njiwa Macho-njano (African Olive Pigeon)
- Columba bollii, Njiwa wa Bolle (Bolle's Pigeon)
- Columba delegorguei, Njiwa Kisogo-shaba Mashariki (Eastern Bronze-naped Pigeon)
- Columba guinea, Njiwa au Kunda Madoa (Speckled Pigeon)
- Columba iriditorques, Njiwa Kisogo-shaba Magharibi (Western Bronze-naped Pigeon)
- Columba junoniae, Njiwa wa Kanari (Laurel Pigeon)
- Columba larvata, Kipura (Lemon Dove) – pengine inaainishwa katika Aplopelia
- Columba livia, Njiwa-miamba (Rock Dove)
- Columba l. domestica, Njiwa-mijini (Domestic Pigeon)
- Columba l. livia, Njiwa-miamba (Rock Dove)
- Columba malherbii, Njiwa Kisogo-shaba wa Sao Tome (Island Bronze-naped Pigeon)
- Columba oenas, Njiwa Ukosi-kijani (Stock Dove)
- Columba oliviae, Njiwa Somali (Somali Pigeon)
- Columba palumbus, Njiwa au Kunda wa Ulaya (Common Wood Pigeon)
- Columba pollenii, Njiwa wa Komori (Comoro Olive Pigeon)
- Columba simplex, Kipura wa Sao Tome (São Tomé Lemon-dove) – pengine inaainishwa katika Aplopelia
- Columba sjostedti, Njiwa wa Kameruni (Cameroon Olive Pigeon)
- Columba thomensis, Njiwa wa Sao Tome (São Tomé Olive Pigeon)
- Columba trocaz, Njiwa wa Trocaz (Trocaz Pigeon)
- Columba unicincta, Njiwa au Kunda Mwekundu (Afep Pigeon)
Nilgiri wood-pigeon
Yellow-eyed pigeon
Speckled wood pigeon
Japanese wood pigeon
White-headed pigeon
Snow pigeon
Andaman wood pigeon
Ashy wood pigeon
Pale-capped pigeon
Hill pigeon
Sri Lanka wood pigeon
Metallic pigeon
Chilean pigeon
Ring-tailed pigeon
Pale-vented pigeon
Bare-eyed pigeon
Band-tailed pigeon
Red-billed pigeon
Dusky pigeon
Plain pigeon
White-crowned pigeon
Spot-winged pigeon
Short-billed pigeon
Maranon pigeon
Picazuro pigeon
Plumbeous pigeon
Scaled pigeon
Scaly-naped pigeon
Ruddy pigeon
|
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Njiwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |