From Wikipedia, the free encyclopedia
Kipaasaal ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wapaasaal. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kipaasaal imehesabiwa kuwa watu 36,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipaasaal iko katika kundi la Kigur.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipaasaal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.