From Wikipedia, the free encyclopedia
Kintcham ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo na Ghana inayozungumzwa na Wantcham. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kintcham nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji 57,000 nchini Ghana. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kintcham iko katika kundi la Kigur.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kintcham kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.