From Wikipedia, the free encyclopedia
Kirangi (kwa kilugha Kilangi) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Warangi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kirangi imehesabiwa kuwa watu 410,0000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kirangi iko katika kundi la F30.
Lugha ya Kirangi ina irabu 7 na konsonanti 22. Pia tofauti kati ya irabu fupi na irabu ndefu huleta tofauti za maana. Tena, kuna toni (au mawimbi ya sauti) zinazotofautisha maana ya nomino fulani, na nyakati za vitenzi.
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kirangi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.