From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiikoma (pamoja na lahaja za Kinata na Kiisenye) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Waikoma. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiikizu-Nata-Isenye imehesabiwa kuwa watu 36,000, yaani Waikoma 15,000, Wanata 11,500 na Waisenye 9,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiikoma-Nata-Isenye iko katika kundi la E40.
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiikoma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.