From Wikipedia, the free encyclopedia
Kihungaria (pia: KiMadyar, Kihungaria: magyar au magyar nyelv) ni lugha ya Kiugori ya magharibi katika jamii ya lugha za Kifini-Kiugori.
Huzungumzwa hasa katika nchi za Hungaria (10 mill.), Romania (1.4 mill.), Slovakia (520.000), Serbia (300.000), Austria (22.000), Australia (50.000) na Marekani (1.6 mill. - 117.000).
Kihungaria kinatumiwa kama lugha rasmi kitaifa katika nchi zifuatazo:
Kinatambuliwa kama lugha ya wakazi wenye utamaduni wa Kihungaria katika nchi zifuatazo:
Ni pia lugha rasmi katika Umoja wa Ulaya.
Kihungaria kama lugha ya kigeni kinafundishwa shuleni au kwenye taasisi za elimu ya watu wazima katika nchi nyingi. Mwaka 2001 idadi ya wanafunzi wa Kihungaria ilkuwa kama ifuatayo:
Jumla: watu milioni 12-13
Alfabeti
a, á, b, c, cs, d, dz, dzs, e, é, f, g, gy, h, i, í, j, k, l, ly, m, n, ny, o, ó, ö, ő, p, q, r, s, sz, t, ty, u, ú, ü, ű, v, w, x, y, z, zs.
Uangalifu!
|
|
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.