Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiganda (pia Luganda) ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Waganda. Mwaka wa 2002 idadi ya wazungumzaji wa Kiganda imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni nne.
Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiganda kiko katika kundi la J10.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiganda (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.