Kidjauan
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kidjauan (au Kijawoyn) ni lugha ya Kigunwinyguan nchini Australia inayozungumzwa na Wadjauan katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kidjauan ilihesabiwa kuwa watu arobaini na wawili tu, yaani lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjauan kiko katika kundi lale lenyewe la Kidjauan.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidjauan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.