Kiboko (Kongo)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiboko ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waboko. Idadi ya wasemaji wa Kiboko imehesabiwa kuwa watu 21,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiboko iko katika kundi la C40.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiboko (Kongo) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.