Kansyo na wenzake
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kansyo na wenzake Kansyano na Kansyanila (walifariki Aquileia, leo nchini Italia, 304) walikuwa ndugu Wakristo ambao waliuawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano wa Dola la Roma. Walikuwa wamekamatwa pamoja kwenye gari la kukokotwa huku wakikimbia mji huo.[1][2]
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.