Jumanne Maghembe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Profesa Jumanne Abdallah Maghembe (amezaliwa 1 Januari, 1970) ni mbunge wa jimbo la Mwanga katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.[2]

Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nnje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.