Juliana wa Firenze
From Wikipedia, the free encyclopedia
Juliana wa Firenze alikuwa Mkristo mjane wa mji huo katika karne ya 4[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 7 Februari[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.