Judoki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Judoki (pia: Josse, Iudocus, Judoce, Judec, Huec, Uzek, Uzec; Bretagne, karne ya 7 - Neustria, leo Ufaransa, 669 hivi) alikuwa padri mkaapweke baada ya kukataa ufalme [1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu sawa na kaka yake Judikaeli.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Desemba[3].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.