Joviniani wa Auxerre (kwa Kilatini: Jovinianus; kwa Kifaransa: Jovinien; alifia dini Auxerre, leo nchini Ufaransa, karne ya 3 hivi) alikuwa msomaji wa Kanisa, kati ya wainjilishaji wa kwanza wa mji huo aliyeuawa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.