Buryatia ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Russia. Mji mkuu wake ni Ulan-Ude.

Thumb
Sehemu ya mkoa wa Buryatia
Thumb
Mahali pa Buryatia katika Russia
Thumb

Wenyeji wa Buryatia ni Waburyati wanaotumia lugha ya Kiburyati ambayo ni moja ya lugha za Kimongolia.


Tazama pia

Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Buryatia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.