J. K. Rowling (alizaliwa mjini Yate, Gloucestershire, Uingereza, 1965) alikuwa akifanya kazi kama mtafiti kwenye asasi ya Amnesty International wakati alipopata wazo la kuandika riwaya ya Harry Potter, mnamo 1990. [1]
Rowling alihudhuria Shule ya Msingi St Michael [2] halafu akahudhuria shule ya sekondari ya Wyedean, ambapo mama yake alikuwa akifanya kazi katika idara ya sayansi. [3]
Baada ya hapo, Rowling alijiunga na Chuo Kikuu cha Exeter, ambapo alisomea Kifaransa na Classics.
Rowling amepokea shahada za heshima kutoka Chuo Kikuu cha St Andrews, Chuo Kikuu cha Edinburgh, Chuo Kikuu cha Edinburgh Napier, Chuo Kikuu cha Exeter (ambacho alihudhuria) [4] Chuo Kikuu cha Aberdeen , [5][6] na Chuo Kikuu cha Harvard, ambako alizungumza katika sherehe mwaka 2008. [7] Mnamo 2009, Rowling alituzwa tuzo la Chevalier de la Légion d'honneur na Rais wa UfaransaNicolas Sarkozy. [8]
Tuzo nyingine alizoshinda ni:
1997: Nestlé Smarties Book Prize, Gold Award, Harry Potter and the Philosopher's Stone
1998: Nestlé Smarties Book Prize, Gold Award, Harry Potter and the Chamber of Secrets
1998: British Children's Book of the Year, Harry Potter and the Philosopher's Stone
1999: Nestlé Smarties Book Prize, Gold Award, Harry Potter and the Prisoner of Azkaban
1999: National Book Awards Children's Book of the Year, Harry Potter and the Chamber of Secrets
1999: Whitbread Children's Book of the YearHarry Potter and the Prisoner of Azkaban
2000: British Book Awards, Author of the Year
2000: Officer of the Order of the British Empire for services to Children's Literature
2000: Locus Award, Harry Potter and the Prisoner of Azkaban
2001: Hugo Award for Best Novel, Harry Potter and the Goblet of Fire
2003: Premio Príncipe de Asturias, Concord
2003: Bram Stoker Award for Best Work for Young Readers, Harry Potter and the Order of the Phoenix
2006: British Book of the Year, Harry Potter and the Half Blood Prince
2007: Blue Peter Badge, Gold
2008: British Book Awards, Outstanding Achievement
Shapiro, Marc (2000). [[[:Kigezo:Google books]] J.K. Rowling: The Wizard Behind Harry Potter]. New York: St. Martin's Press. ISBN978-0-312-32586-2.{{cite book}}: Check |url= value (help)
David Cribb (2006). "JK Rowling receives honorary degree". digital spy. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Desemba 2008.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) Retrieved 6 June 2008.
Claire M. Guehenno and Laurence H. M. Holland (2008). "J. K. Rowling To Speak at Commencement". The Harvard Crimson. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Juni 2008.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) Retrieved 6 June 2008.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu J. K. Rowling kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.