How to Stop an Exploding Man

From Wikipedia, the free encyclopedia

How to Stop an Exploding Man
Remove ads

"How to Stop an Exploding Man" ni sehemu ya ishirini na tatu na mwisho ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa kipindi cha ubunifu wa kisayansi kinachorushwa hewani na televisheni ya NBC, Heroes. Sehemu hii ilitungwa na Tim Kring na kuongozwa na Allan Arkush. Kipengele ndiyo cha mwisho katika vipande vitatu vya mwisho katika msimu wa kwanza.[1]

Ukweli wa haraka "", Sehemu ya Heroes ...
Remove ads

Sehemu hii imeanza kupigwa picha mnamo tar. 26 Machi. Imeanza kurusgwa mnamo tar. 21 Mei 2007.[2] Jina la sehemu hii linatokana na swali ambalo Hiro Nakamura aliuliza kwenye "Fallout".

Remove ads

Hadithi

Mr. Bennet anamnyooshea silaha Molly, anamtishia maisha ya binti huyo ili amwokoe Claire, na Suresh anamnyooshea silaha kwa Bennet, ili kumwokoa Molly. Mvutano uliovurugwa baiana ya Molly na Matt Parkman umepelekea kuwekeana dosari.

Sylar anaona mchoro unaomtabiri mapigano baina yake na Peter, ambaye amemtambua mapema.

Hiro anamwambia baba'ke hana budi kumsaidia Ando na kumzuia Sylar. Amesafirisha kiajabu na kutoka kwenye dari la Isaac Mendez, ambapo Ando alipigwa pini ukutani na Sylar. Hiro anawasili kumkabili Sylar, na Sylar anamnzingua Hiro aondoke haraka awezavyo. Kwa kumshangaza Sylar, Hiro ameteleport humo kwa humo hadi kwa Ando na wote wakatoweka kabla Sylar hajafanya balaa lake.

Remove ads

Marejeo

Loading content...

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads